Mark 13:24-25

24 a“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza
nao mwezi hautatoa nuru yake;

25 bnazo nyota zitaanguka kutoka angani,
na nguvu za anga zitatikisika.’

Copyright information for SwhKC